digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Zikifika buku 2 mnistue.
Yani 60mls kwa elfu nane ndio bei nafuu? Aiseee
Wazee wa fursa wanataka kutajirika kwa sanitizer..Muda si mrefu sanitizer zitakua so dili Tena, viwanda vikubwa wamepewa vibali kutengenezaView attachment 1433714View attachment 1433717
Mi natumiaga sabuni na maji tuNenda MSD wanauza, za 250ml ni TZS. 5,500, za 500ml ni TZS. 10,000. Wanazo za ujazo tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado inakuwa hauna uhakika asilimia za alcohol zilizomo ndizo zenyewe ama wameweka kiushahidi tu,,unakuwa unapaka ukidhani unajikinga kumbe holaa,,sabuni na maji Ni uhakika na Ni cheapNi lazima tuwapinge kwa nguvu zote hawa watu .yaani nimeogopa kweli 60mls kwa 8000/= kwa familia ya watu 6 hiyo mnatumia siku mbili tu inaisha,kwa mwezi ni 120.000/= si mshahara wa mtu huu
Sent using Jamii Forums mobile app