Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Zumaridi anakusalimiaSilaha yangu ni Kristu
Hii weapon ni ya siri sana sio kama yale..Nimemkumbuka yule jamaa wa pale ubungo mataa those years alikuwa akiuza mapanga na majambia
Ncha kali jina lako linahamasisha amani eti.Mnahamisisha mauaji.
Nilijaribu kuzicheki online, aisee vile vyuma bei kali aiseeKatana siwezi kuipata mkuu. Napenda oriental swords.
Ila nina za kimasai tu hizi sime.
Halafu anatamka "za kukatia kucha " hizi hapaNimemkumbuka yule jamaa wa pale ubungo mataa those years alikuwa akiuza mapanga na majambia
Hizo samurai sword mkuu ngum sana kupatikanaKatana siwezi kuipata mkuu. Napenda oriental swords.
Ila nina za kimasai tu hizi sime.
Zishauzwa mkuu!!HIYO KUBWA UMWSHAIFUNGUA MKUU.