Jipatie Sembe na Dona safi

Jipatie Sembe na Dona safi

Kapyangi

Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
19
Reaction score
24
JIPATIE SEMBE NA DONA SAFI NA KWA BEI NAFUU
BEI

Habari!
Nauza unga safi wa sembe na dona kwa bei nafuu. Kwa wakazi wa Dar es Salaam unaletewa popote ulipo kwa bei hizo hapo chini.

Kwa wakazi wa mikoani tutakuletea pia popote ulipo kwa ongezeko kidogo la bei kulingana na umbali wa mkoa ulipo.

Bei za Sembe
25kg 18000, 10kg 8000/= 5kg 4500
Bei za Dona
25kg 17000/= 10kg 7500/= 5kg 4000/=
 
Back
Top Bottom