Jipatie sheria za Tz bure

Jipatie sheria za Tz bure

mkuu umetoa bonge la tafu, watu tukipata muda tupate kuperuzi japo tuwe mabush lawyer wenye confidence
 
Wakuu lakini muwe makini mana nyingne katika hizo ziliishafutwa( repealed) mfano Mining Law ya 1998 sasa ipo ya 2010.
 
Shukran wadau kama kuna tatizo lolote la kutafsiri tukutane kwenye jukwaa la sheria hapo juu
 
ahsante

Tanzania Medical Registration act na Nursing and midwives act hazipo au ni macho yangu hayaja angalia vizuri section ya health
 
Back
Top Bottom