TV4Sale Jipatie smart TV inch 55 used in excellent condition

TV4Sale Jipatie smart TV inch 55 used in excellent condition

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Habari Ndugu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Brand zilizopo ni Hisence na Boss

Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss)

Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho)

TV zilikuwa zinatumika Kibiashara kwenye Kukodisha Ukumbini kwa ajili ya Sherehe.

Zinauzwa hazina tatizo lolote bali zimenunuliwa zingine za kisasa zaidi

Mawasiliano zaidi - 0688 986 066


 
Back
Top Bottom