Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 Jan 24, 2022 #1 Habari Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Brand zilizopo ni Hisence na Boss Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss) Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho) TV zilikuwa zinatumika Kibiashara kwenye Kukodisha Ukumbini kwa ajili ya Sherehe. Zinauzwa hazina tatizo lolote bali zimenunuliwa zingine za kisasa zaidi Mawasiliano zaidi - 0688 986 066 Your browser is not able to display this video.
Habari Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Brand zilizopo ni Hisence na Boss Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss) Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho) TV zilikuwa zinatumika Kibiashara kwenye Kukodisha Ukumbini kwa ajili ya Sherehe. Zinauzwa hazina tatizo lolote bali zimenunuliwa zingine za kisasa zaidi Mawasiliano zaidi - 0688 986 066 Your browser is not able to display this video.
D2050 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 1,919 Reaction score 1,094 Jan 24, 2022 #2 500000 ipo hiyo boss
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jan 24, 2022 #3 Kula 3000000
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jan 25, 2022 #4 Kwa hyo nikija ntakukuta wewe miss zomboko jaman Lau hata nikuone TU mrembo Mkiuza na projector mnishtue Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo nikija ntakukuta wewe miss zomboko jaman Lau hata nikuone TU mrembo Mkiuza na projector mnishtue Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jan 25, 2022 #5 ndege JOHN said: Kula 3000000 Click to expand... Duh.![emoji276]