SOFTWARE Jipatie software maalumu itakayo kusaidia kutuma ujumbe mfupi, mmoja kwa watu wengi na kwa wakati mmoja

SOFTWARE Jipatie software maalumu itakayo kusaidia kutuma ujumbe mfupi, mmoja kwa watu wengi na kwa wakati mmoja

MALISA92

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
148
Reaction score
57
Habari zenu wana JF!
Jipatie software maalumu itakayo kusaidia kutuma ujumbe mfupi, mmoja kwa watu wengi na kwa wakati mmoja.. Software hii itakusaidia kutoa taarifa kwa wateja wako na pia kutangaza biashara yako kwa urahisi zaidi na kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa number zifuatazo ili kujua zaidi kuhusiana na huduma hii
0753 121404 au 0658 020361
 
ina itwaje...? una picha au demo jinsi inavyo fanya kazi...
 
Ntaitumia kwenye simu au compyuta
Samahani kwa kuchelewa kujibu swali lako..ila ni hivi;
Software hii tunaweka katika computer na number za simu tutazitengeneza katika file la Excel na kuwepo pia katika computer hii hii, kinachofanyika ni kwamba katika software hii kuna sehem ya ku import number za simu ama=bazo tutakuwa tumeziandika katika Excel sheet na baada ya hapo kwenye sfotware kuna sehem ya kuandika ujumbe wako kisha una select tu send na hapo ujumbe huo utaenda kwa number zote za simu tulizo import kutoka kwenye excel sheet
 
Nita upload hapa screen shots za interface yake ili mjionee ilivyo!..Jambo lingine pia nilisahau kusema ni kwamba software hi inafanya kazi na modem..kwahyo modem ndio itakayo weka line ya simu ambayo utakuwa umeunganisha kifurushi cha sms kwa mtandao unaopenda mwenyewe
 
ghalama kwa matumizi ya idadi ya namba kt ya 150-200
Gharama ya software ni Tsh elfu 50,000/= tu ila utahitajika kuwa na modem..kwahyo ikiwa utakuwa huna modem basi tutakuuzia modem kwa Tsh elfu 40,000/=. Hakuna kikomo cha idadi ya watu katika software hii kwahyo ukiwa na watu 100 au 200 haijalishi hata wakiwa zaidi ya 10000.
 
Gharama ya software ni Tsh elfu 50,000/= tu ila utahitajika kuwa na modem..kwahyo ikiwa utakuwa huna modem basi tutakuuzia modem kwa Tsh elfu 40,000/=. Hakuna kikomo cha idadi ya watu katika software hii kwahyo ukiwa na watu 100 au 200 haijalishi hata wakiwa zaidi ya 10000.
Shilingi elfu ngapii? [emoji22] [emoji22]

Ukipata mteja mmoja umeshatoka
 
Duh..ngoja niwe natuma moja moja tu.
Ndg huduma ya Bulk SMS kama umeshawahi kuifwatilia ni ghali sanaa.. Jaribu kufanya uchunguzi ndipo utagundua kuwa ukiwa na software hhi utakuwa umepunguza gharama kubwa sana..na pia kwa sasa yamkini una watu wachache ambao unamudu kuwatumia sms moja moja kwa simu yako na ukawamaliza.. Jaribu kuwazia unataka kutuma sms kwa watu 1000 kila siku..je unge weza kuwatumia kwa wakati?
 
Back
Top Bottom