Akikujibu unitag.ina itwaje...? una picha au demo jinsi inavyo fanya kazi...
Samahani kwa kuchelewa kujibu swali lako..ila ni hivi;Ntaitumia kwenye simu au compyuta
Gharama ya software ni Tsh elfu 50,000/= tu ila utahitajika kuwa na modem..kwahyo ikiwa utakuwa huna modem basi tutakuuzia modem kwa Tsh elfu 40,000/=. Hakuna kikomo cha idadi ya watu katika software hii kwahyo ukiwa na watu 100 au 200 haijalishi hata wakiwa zaidi ya 10000.ghalama kwa matumizi ya idadi ya namba kt ya 150-200
Shilingi elfu ngapii? [emoji22] [emoji22]Gharama ya software ni Tsh elfu 50,000/= tu ila utahitajika kuwa na modem..kwahyo ikiwa utakuwa huna modem basi tutakuuzia modem kwa Tsh elfu 40,000/=. Hakuna kikomo cha idadi ya watu katika software hii kwahyo ukiwa na watu 100 au 200 haijalishi hata wakiwa zaidi ya 10000.
Duh..ngoja niwe natuma moja moja tu.Nili type vibaya bei angalia kwa makini saiv...nilimaanisha elfu 50 tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona simu kibao zina hiyo uwezo wakutumia ata watu 500Duh..ngoja niwe natuma moja moja tu.
Ndg huduma ya Bulk SMS kama umeshawahi kuifwatilia ni ghali sanaa.. Jaribu kufanya uchunguzi ndipo utagundua kuwa ukiwa na software hhi utakuwa umepunguza gharama kubwa sana..na pia kwa sasa yamkini una watu wachache ambao unamudu kuwatumia sms moja moja kwa simu yako na ukawamaliza.. Jaribu kuwazia unataka kutuma sms kwa watu 1000 kila siku..je unge weza kuwatumia kwa wakati?Duh..ngoja niwe natuma moja moja tu.