nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia zaidi hapa Amazon product ASIN B01N5IB20Q
kwa wasiofahamu SSD ni replacement ya Hard disk, zinaongeza speed ya computer mara 10 ama zaidi, ukiwasha computer inawaka ndani ya sekunde 10 na kufungua programs hakuchukui muda, hata kama una laptop ya kizamani ya core 2 duo, ssd inaweza kuifanya iwe faster zaidi.
Your browser is not able to display this video.
bei ni 120,000 na unaweza wasiliana na mimi kupitia 0756 853285
pia kama haupo mbali na dar es salaam mjini naweza kukufanyia free installation kwa kui clone hdd yako na kuihamishia kwenye ssd.
Storage capacity ni hio hio, 2tb ya ssd na 2tb ya hdd inaingia mafile sawa.
Utofauti ni speed, mfano ssd ina Hamisha mafile 500MB kwa sekunde na HDD 50MB kwa sekunde ina maana ssd ita Hamisha mafile kwa haraka zaidi. Unapowasha computer, windows mafile mengi inabidi ya load, kwa ssd computer inawaka sekunde 6 mpaka 10 hivi wakati hdd ina chukua zaidi ya dakika.

Ndio inawezekana, ila ufahamu kwanza aina ya hio ssd, mimi ninauza sata na M.2, zipo aina nyengine pia. Ukishafahamu aina itakuwa rahisi kutafuta hio hio.
Pia zipo storage za simu zinaitwa emmc ama ufs, kuna laptop zinatumia hizi storage, hutaweza kubadili.