Jipatie Trekta za TAFE Kutoka kiwanda cha Massey Ferguson cha India (47-100 HP) kwa bei ya Punguzo

Dickson Edwin Mgaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
526
Reaction score
1,432
Trekta za TAFE zimejizolea umaarufu kutokana na uimara wake, pamoja na uwezo wa kuhimili mazingira halisi ya kitanzania. Karibu ujipatie Trekta yako leo kutoka kampuni ya MeTL Agro, wasambazaji walioidhinishwa wa Trekta za TAFE pamoja na vipuri vyake.

Model zinazopatikana ni pamoja na:
1. 47 Horse power, 2WD
2. 50 Horse power, 2WD
3. 60 Horse power, 2 WD & 4WD
4. 75 Horse power 2WD & 4WD
5. 80 Horse power 4WD
6. 100 Horse power 4WD

Pamoja na Trekta hizi, zana nyingine zinazopatikana ni pamoja na Disc plough, Disc harrow, Rotavators, Planters, Trailers & Tractors spare parts.

Vifaa hivyo vinapatikana kwa fedha taslimu pia kwa mkopo kupitia benki zetu washirika.
Matawi yetu yanapatikana Dar es salaam, Dodoma pamoja na Mtwara.

Pia tuna mawakala wasambazaji & waratibu wa mauzo, mikoa yote Tanzania.

Wasiliana nasi leo kupitia:
Simu: 0676692096
Barua pepe: sales.agro@metlgroup.co.tz

TAFE, Thamani halisi ya fedha yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…