Tuwasiliane. +121526434870713491359
Inches za tv/desktop/laptop hupimwa diagonally. Yaani kutoka upande wa juu kushoto mpaka upande wa chini kulia au upande wa kushoto chini mpaka kulia juu.Habari mkuu, samahani kwa kuuliza. Hivi utajuaje kwamba tv Ina inch sahihi?. Niliwahi kununua TV ya Hinsense inch 55, ila kuipima ikaonesha ni inch 49. Kwa Nini kunautofauti huo.
Inches za tv/desktop/laptop hupimwa diagonally. Yaani kutoka upande wa juu kushoto mpaka upande wa chini kulia au upande wa kushoto chini mpaka kulia juu.