Jipatie TV smart kwa bei nafuu

Nina laki nane taslim Boss hilo li 4k la lg uwezi nibariki walau na mimi nichungulie vya kunoga msimu huu wa sikuku pia tusiathiri mambo ya ada za watoto mwezi unaokuja????
 
Nina laki nane taslim Boss hilo li 4k la lg uwezi nibariki walau na mimi nichungulie vya kunoga msimu huu wa sikuku pia tusiathiri mambo ya ada za watoto mwezi unaokuja????
Hapo kwa bei punguzo mkuu ni 890k hiyo ni smart tv.....
 
Wengine hawana account ya instagram mkui
Okey mkuu nimekupata tutaanza kuleta bidhaa zetu hapa hapa zikiwa na specifications zake na price kwa ujumla
 
embu niambie TCL smart inch 40 bei gani ?
LG smart inch 32 bei gani ?
NOTE: biashara ni ya uhakika weka bei nzuri Je na unatoa huduma ya kufunga Tv kwa mteja aliyenunua
 
Hv kuna tcl 40 inch yenye ruko

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…