Mpo wapi? Mikoani mnatuma?Faida za unga huu kwa afya zinajulikana sana. Utafiti umefanywa na wengi. Sisi tumeanza kusambaza unga huo. View attachment 1020665
SawaMkuu nisamehe bure, kwa kuwa tafiti zilishafanyika na faida zake kuwekwa wazi nilitegemea mhitaji atagoogle
Kwa ufupi ni kwamba mmea wa moronga una virutubisho vingi zaidi kulikoni mmea wowote ulimwenguni. Na watu wengi wanashambuliwa na maradhi kwa sababu ya ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini, hivyo ukitumia unga huu utakusaidia kuwa mbali na vimelea visababishavyo maradhi kwa mwanadamu.Sawa
Bei si ndogo, mi natoa shambani, uhitaji ndo huwa unafanya zao lipande Bei. Kwa sass wengi hawajajua faida yake, hivyo ni Kama tunafanya promo.Nakumbuka nilitumia huo mkononi ulineemeka nikaamza kupata pesa
Afu bei yako mbona ndogo hivyo
Mkuu huo Unga unauza au unatutaarifu kuhusu huo unga? Maana sometimes biashara za wabongo ni kichekesho sana, hapo ndo mkenya na mganda anatupiga bao, sisi tunaishia kusema hela hakuna, mara fursa zipo, wateja hawapo na kadhalika.Faida za unga huu kwa afya zinajulikana sana. Utafiti umefanywa na wengi. Sisi tumeanza kusambaza unga huo. View attachment 1020665
Ahsante sana mkuu, ushauri wako nitaufanyia kazi. Kuna kitu umenijenga kwa asubuhi hii; ubarikiwe!Mkuu huo Unga unauza au unatutaarifu kuhusu huo unga? Maana sometimes biashara za wabongo ni kichekesho sana, hapo ndo mkenya na mganda anatupiga bao, sisi tunaishia kusema hela hakuna, mara fursa zipo, wateja hawapo na kadhalika.
Ukielewa nia ya biashara kuwa ni kujiongezea kipato, kuwaelimisha customers wako maana research ya hyo product yko huenda imefanywa kitaalam na hata lugha ikawa ya kitaalam.
Pia sio watu wote ni wasomi, watumiaji wa Google au watumiaji wa mtandao au wanaingia mara chache, sasa jukumu la mfanyabiashara ni lazima ajue soko Lake na watu wake.
Mimi juzi nimekutana na watu wa halotel njiani, wachina na wabongo, wanauza products zao tena wanapokea ushauri? Swali ni je? Hao ni wajinga maana wangeweza weka products zao kwenye insta na ukigoogle unapat info zote wao wauze tu products.
Is this how the customer care is? Inawezakn wewe ni msomi, ila una kasumba ile km ya shule lecturer anasema, anatoa 25% ya elimu then 75% kajisomee vitabu, Google, na mengineyo.
Mr, nowadays it's very hard to sell ur product like that, chukua principle ya kuwa mteja ni mfalme, hyo product unayouza kuna maelf ya watu pia wanauza kupitia whatsaap na mengineyo na pia wameweza kutoa info nzuri na wanatengeneza wenyewe ili kukidhi soko, kwa wasomi na wasio wasomi, wapo wasioona lakini wanasikia na pia hapo ndo soko linahitaji rika lote. Sasa km na wewe unatuachia wateja wako assignment km zile za shule eti twende tukagoogle, utasubir sana brother.
Watanzania tujifunze jamani customer care na kujali wateja ili uweze kuuza biashara, kenya na Uganda wanaajiriwa sana hapa kwetu kisa customer care, sisi customer care ni %.
Anyway take notice that usipopata wateja basi biashara inakufa, pia kwa wateja, biashara hyo ni huria na zipo nyingi. Technics za biashara zitakuokoa brother
Sent using Jamii Forums mobile app
That is not the way of marketing out your products mfanye mteja awe boss kwa kumspoon feeding.Mkuu nisamehe bure, kwa kuwa tafiti zilishafanyika na faida zake kuwekwa wazi nilitegemea mhitaji atagoogle
Ahsante kwa ushauri, nitaufanyia kazi. Mojawapo ya mimea yenye virutubisho vingi vinavyosaidia mwili kutosha Bulawayo na maradhi NI moringa. Kw kulijua Hilo tumekuadalia unga unaotokana na mmea huo ili uutumie kwa wiki moja. Maelezo ya kina yako kwenye kifungashio. Kama mtumiaji tayari kashambuliwa na maradhi tutampatia maelezo kuhusu dozi ya maradhi yake.That is not the way of marketing out your products mfanye mteja awe boss kwa kumspoon feeding.