africanbusiness2019
Member
- Oct 3, 2020
- 18
- 8
Duh! KumbeMnaandikaga popote tulipo tunaletewa ila sasa agiza uonee kitakachotokea
😂😂 sio mimi mkuuWewe ndio yule DAVIDSPORT.???
Wanavutiaa wateja tu sipend hiyo kauliDuh! Kumbe
Mimi nakuletea mpaka ulipo kama upo Dsm ila nauli unalipia wewe, na kitu cha msingi uwe unajua size ya kiatu unachotaka kununua na rangi ili kuondoa usumbufuMnaandikaga popote tulipo tunaletewa ila sasa agiza uonee kitakachotokea
Subiri nitaposti viatu unavyovaagaSivaagi hivo viatu Mimi yanini nijichoshe
Sasa mbona mnatumia picha zile zile? Anyway me nilijua ndo yule maana huwa hajibu sms[emoji23][emoji23] sio mimi mkuu
Na nauli huwa mnawapangaa bodaboda pahala pa elfu 3 mnadouble ..Mimi nakuletea mpaka ulipo kama upo Dsm ila nauli unalipia wewe, na kitu cha msingi uwe unajua size ya kiatu unachotaka kununua na rangi ili kuondoa usumbufu
Sasa mbona mnatumia picha zile zile? Anyway me nilijua ndo yule maana huwa hajibu sms
Ondoa wasiwasi mkuu tufanye biasharaNa nauli huwa mnawapangaa bodaboda pahala pa elfu 3 mnadouble ..
Wakati hapo ushapata faida kubwa kwenye kitu mteja alichochagua