Ndugu wadau, sasa mnaweza kujipatia viazi vilivyolimwa katika hali ya asili bila ya matumizi ya mbolea zenye kemikali.
Sehemu bidhaa ilipo
Mbeya-Kawetere
Bei
shilingi 50,000 kwa gunia
Mawasiliano
simu:0757753774
kwa wale waliopo nje ya mkoa wa Mbeya naweza kuwasafirishia mzigo hadi walipo kwa maelewano.