merere sports
Member
- Jan 19, 2018
- 17
- 9
Tangazo nahisi halijakamilika kwa matakwa ya wanunuzi!Bei zenu zikoje,kama una duka liko wapi,mteja atapataje bidhaa zenu hata kuziona tu kabla ya kununua na mengine mengi ya muhimu!Rekebisha ili uvutie watu wengi
Jezi Mpira wa miguu bei gani ? N'a zinakuwa PC ngapi mkuu ?Footballs size 5 Tsh 40,000 only. View attachment 713157View attachment 713158
na hii mipira ni tubeless au?Footballs size 5 Tsh 40,000 only. View attachment 713157View attachment 713158
Ina tube ndanina hii mipira ni tubeless au?
Jezi inakua 1, mpira 1, sox na kiatu pair 1.Jezi Mpira wa miguu bei gani ? N'a zinakuwa PC ngapi mkuu ?
Tumeshawatumia wateja wengi sana, biashara za siku izi wateja hawapotez muda kwenda dukan, wanafikishiwa bidhaa popote walipoShida kubwa hapo ni kuaminika na wa mikoani
ujanielewa, kuna timu yetu ya mitaani tunataka tuwavalishe jezi, wachezaji 11 n'a 6 réserve. Inagarimu shs. Ngapi ?Jezi inakua 1, mpira 1, sox na kiatu pair 1.
Jumla itakua ni Tsh 238,000ujanielewa, kuna timu yetu ya mitaani tunataka tuwavalishe jezi, wachezaji 11 n'a 6 réserve. Inagarimu shs. Ngapi ?
Jez 11 na jez za reserve 6 jumla ni jez 17 utalipia 238,000Jumla itakua ni Tsh 238,000
Zinakua na namba hizo jeziJez 11 na jez za reserve 6 jumla ni jez 17 utalipia 238,000
Hizo jezi zinakuwa n'a viatu vyake ?Jez 11 na jez za reserve 6 jumla ni jez 17 utalipia 238,000
Hizo siuz ofisin kwanguHII KITU INAPATIKANA KWA BEI GANI?