Jipatie vijiti safi asilia vya kuwashia

Jungo_tz

Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
37
Reaction score
41
Achana na mambo ya kizamani kuwasha moto na mifuko jipatie vijiti safi asilia kabisa vya kuwashia moto yaan kijiti kimoja tu kinawasha moto. Utajipatia kwa bei ya jumla(750) na reja reja(1000) kwa Dar unaletewa sehemu yoyote ulipo. Piga 0620479092
 
Hongereni naona fursa zinajitokeza. Ni hatua kubwa hiyo
 
Achana na mifuko ya plastiki, Washia vijiti mafuta, ni salama kuliko plastiki.
 
Safi sana. Mubatikiwe. Viwanda vitapatikana tu kwa ubunifu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…