Mangi wa Rombo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 207
- 148
Kama nilimsikia Mheshimiwa Waziri akisema kuwa SERIKALI YA MTAA haina mamlaka ya kusimamia mauzo ya ardhi.Huu sio mradi wa kampuni bali ni eneo la mtu binafsi ambaye alibahatika kuwa na eneo kubwa na sasa anauza! Viwanja havijapimwa, lakini utaratibu wa kupima upo kwenye mchakato, kutakuwa na nyaraka halali za makubaliano ya mauzo toka serikali za mtaa.
Kama unahitaji kuviona viwanja:
Tafadhali fanya mawasiliano kwenye namba hii 0658402450.
Karibuni sana!
Habari!Kama nilimsikia Mheshimiwa Waziri akisema kuwa SERIKALI YA MTAA haina mamlaka ya kusimamia mauzo ya ardhi.
Ahaa, sasa nimeelewa. Afisa Mtendaji ni mwajiriwa wa serikali kuu kama mwakilishi katika serikali ya mtaa, inamake sense. Ila kiasi kinachobaki miezi mi3 mzee baba utaua wananchi. Binadamu wengi awamu hii 1m ndani ya mwezi haishikiki, miezi 6 wanadamu wangefarijikaHabari!
Mkataba wa mauziano huandikwa na kusainiwa na mtendaji, ni mkataba halali na unatambulika kisheria na ndio maana hata hizo form ni similar (zinafanana kwa kata yeyote utakayokwenda) ndio mkataba mama (primary contract) kwenye kurasimisha ardhi..
Habari,Ahaa, sasa nimeelewa. Afisa Mtendaji ni mwajiriwa wa serikali kuu kama mwakilishi katika serikali ya mtaa, inamake sense. Ila kiasi kinachobaki miezi mi3 mzee baba utaua wananchi. Binadamu wengi awamu hii 1m ndani ya mwezi haishikiki, miezi 6 wanadamu wangefarijika
Habari!Unaposema mwendo WA dakika 30, huoni Ni uongo maana watu wanatofautiana ukubwa WA barua na mwendokasi WA kutembea?
Weka kwa kipimo cha kilomita ngapi tokea hiyo round about na sio dakika
Tatizo hapa hao wenye maeneo hawakuyaendeleza. Sasa hivi hao wavamizi wanalipishwa kodi ya ardhi. Ni jambo gumu hili. Ila ilikuwa ni vigumu kuelewa watu wanamiliki acre 10 au zaidi. Ndio yale ya kina Sumaye. Tena umiliki huo ni mjini. Bahati mbaya hawa wavamizi wanazidi kujenga na wanapelekewa Huduma za kijamii
Uvamizi siyo jambo Jena. Bahati mbaya sana Serikali inachukua kodi ya pango la ardhi kwa wananchi wale. Mie nadhani ni vyema wenye maeneo muende mahakamaniWangeyaendeleza saa ngapi ikiwa yamevamiwa?
Wengine walikuwa nasubiri kumalizia kulipa mikono ili waendeleze hayo maeneo!
Kwani sheria imesema eneo lisipoendelezwa livamiwe?
Itakuwa ni jamii ya aina gani tunajenga ya vurugu na hatari?
Serikali ilishasema hata mtu ajenge gorofa ndefu kuliko zote duniani ajiandae kubomolewa !
Hilo angalizo lilishatolewa mapema!
Haki ya mtu haipotei.
Uvamizi siyo jambo Jena. Bahati mbaya sana Serikali inachukua kodi ya pango la ardhi kwa wananchi wale. Mie nadhani ni vyema wenye maeneo muende mahakamani