Jipatie viwanja kwa mkopo - Madale Mbopo

Mie nadhani hoja kinzana zipo nyingi sana. Mfano hai ni eneo la Sumaye. Serikali imelichukua.
 
Usichanganye na sababu za kisiasa!

Kwani nikuulize hakuna viongozi wengine wa kisiasa wenye mashamba hata sasa ambao hawajayaendeleza?
 
Hizi za kisiasa ndio ambazo huamua. Kuendelea na kusubiri watu wanazidi kujenga makazi na viwanja vikibadilishana mikono inaweza kukugharimu siku moja. Wale wananchi wanapelekewa maji na huduma zote.
 
Sijaelewa inaweza kukugharimu siku moja kipivi?
Fafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…