Plot4Sale Jipatie viwanja vilivyopimwa kwa bei rahisi ndani ya Jiji la Mwanza

atrickmagesa1

Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
17
Reaction score
4
Viwanja viko Nyashishi, kilomita mmoja kutoka stendi ya daladala nyashishi zinazofanya route ndani ya Jiji la Mwanza.

Viwanja viko zaidi ya 50 na bei zinatofautiana kulingana na ukubwa pamoja na mwelekeo wa barabara kubwa.
18*30mita, bei yake ni 4 million.
17*30mita bei yake 3.5
17*30mita bei yake ni 3 million 3
15*30mita bei yake 2.8million.
na kwa vile ambavyo shape zake haziko mstatili bei zake ni million 2.5

Hatimiliki inatoka kwa jina la mnunuzi yaaani wewe ndo unakuwa wa kwanza kutengeneza hatimiliki.

Mawasiliano Call/sms/whatsap 076221174 au 0622355789


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema mwelekeo wa barabara Kuu ndio unaoamua bei ya kiwanja unamaanisha nini?
 
Unaposema mwelekeo wa barabara Kuu ndio unaoamua bei ya kiwanja unamaanisha nini?
Kuna viwanja vyenye ukubwa 17*30m ila kuna vya 3.5 pamoja na 3 million. Mmiliki ndo kahawa bei hiyo yaani ukiangalia vizur kuanzia kiwanja namba 36 vina kijdistance kutoka main road na yy kasema atavipunguza bei na kuwa 3 million ila vinalingana na vya chini yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…