Jipe raha mwenyewe usipojopa raha maumivu n sehemu ya maisha yako

Jipe raha mwenyewe usipojopa raha maumivu n sehemu ya maisha yako

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako

Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao
Mateso yetu kwaoo n sikukuuu

Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye nyumba zaoooo

tafuta furahaa usikae na mtu akupi furaha ya moyo wakooo

Waebrania 12;14
Tafuten kwa bidiii kuwa na amani na watu wote


Ukikaa na mtu akupi amani mwache aijalishi umekaa nae umejuana nae mda gani mwaka miaka hauna amani anakuongezea maumivu ya moyo kimbia
 
Back
Top Bottom