Jipikie cabbage,carrot,hoho,mayai,chunvi na mafuta

Jipikie cabbage,carrot,hoho,mayai,chunvi na mafuta

Yo majesty

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2023
Posts
687
Reaction score
1,179
HAtua
Kata cabbage kama inavyokwatwa vipande ndogondogo ya mboga changanya carrot na hoho na chunvi kidogo kisha pasua yai mbili koroga mchanvanyo huo na mayai
Baada ya hapo weka mafuta kwa flampen ikichemka mafuta weka huo mchanganyo kama vile tunavopika chapati za kumimina
Aisee utatoa kitu amaizing kama piza sio piza
 
Hakuna mtu ana dhambi Dunia kama aliegundua kuwa cabbage ni mboga
 
Back
Top Bottom