Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 687
- 1,179
Ndio mkuu na cabage hoho na karotiHayo mayai unachanganya na hio kebeji?
Inakuwa mboga ya ugali ama nifungue kidogo coz Mimi kitu kikiwa mixed na mayai siwezi kula km kiepe yai, nshaona dagaa na mayaiNdio mkuu na cabage hoho na karoti
Ooh ntajaribu siku moja Nisha screen shot maelezo hayo kabisaInakua kama kiepe.
Ya SotojoWeka picha
Yah watu wachangamshe mdomoYa Sotojo