ungezaliwa mwanamke hiyo raha unayoiona sahv ingekuwa ni mara mbili yake.
shostito hebu mwambie huyo....
Kosa kuzaliwa mwanaume ingekewa saivi unahangaika magengeni na kikapu ukitafuta mapochopocho ya kumpikia mzee jioni au uko jikoni na kanga moja ukimuandalia mzee
ningekuwa mbele kama khadija liganga au irene kiwia kutetea masosti.. lakini ni mwanaume nipo nafanya yangu tu..
anajua sana, ubishi tu. lol
Hahahaaaaa hahahaaaaa uuuuwiii.. taonekana chizi ofcn nacheka pekeyangu
fanya yako, vuja jasho ila asubuhi lazma uache kodi ya meza.
kubreed mimba kufua na kudeki bila kipimo daaa... nafurahi kuwa mwanaume..
Mleta mda umewaza mawazo ya kijinga ever, Pyuuu!!!!!!!!
ni bora huku jioni mkiwa mmechoka najua hilo lazima mzigo utoe uanaume raha sana..
kufua kudeki ya kawaida sana, hizo kazi hata watoto wa kiume wanazifanya sana tu.