me naona wanaume ndo mna tabu ukitembea kidudu kinaenda kushoto kulia mara asimame mwenyewe loh.............. bora mwanamke bwana anaraha..
Hahahahahah lol!!!! Raha ndani ya roho 🙂🙂
Kosa kuzaliwa mwanaume ingekewa saivi unahangaika magengeni na kikapu ukitafuta mapochopocho ya kumpikia mzee jioni au uko jikoni na kanga moja ukimuandalia mzee
Post na thread nyingine ni matusi kwa wazazi wenu.....mnajitafutia radhi za bureeeeeee!
Mi natamani sana ningezaliwa mwanaume;
Ninachokitamani kwa wanaume ni kimoja tu ..........
bidii yao ya kutafuta pesa ............. si zaidi.
Hiyo ndo raha miss chagga kidudu kinafanya mazoezi ya viungo.
ungezaliwa mwanamke hiyo raha unayoiona sahv ingekuwa ni mara mbili yake.
Je ungezaliwa nyani dume ama tembo wa saadani ungekuwa wapi muda huu? Tushukuru kwa uumbaji wa maanani na maumbile aliyotupa.
lazimaaa?ni bora huku jioni mkiwa mmechoka najua hilo lazima mzigo utoe uanaume raha sana..
Kuna mtandao mmoja bidadas waliniacha hoi. Jamaa aliuliza kama bidadas wakiweza kuwa wanaume kwa masaa 24 ni kitu gani wangependelea kukifanya. Wengi walisema kugegeda na pia kuexperience kukojoa wima 🙂🙂
me naona wanaume ndo mna tabu ukitembea kidudu kinaenda kushoto kulia mara asimame mwenyewe loh.............. bora mwanamke bwana anaraha..