JIPU: Kwa nini bei ya mafuta (petroli) haishuki zaidi?

JIPU: Kwa nini bei ya mafuta (petroli) haishuki zaidi?

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
kwenye soko la dunia, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa zaidi ya 40% kati ya July na December 2015 (fuatilia hapa http://moneyweek.com/prices-news-charts/oil/).

kwa maana hii, bei ya rejareja (mathalani ya petroli) ilitakiwa isizidi 1,500 kwa lita moja. mimi kila nilikopita si chini ya sh 1,800.

JIPU!!
 
Hii ndio Tanzania holela tuliyorithi kwa aliyetangulia...... Wote walikuwa wapiga dili......
 
Back
Top Bottom