Jipu kwenye labia minora

 
Aaah tatizo kutakuwa na new growth kwa iyo jarib kwenda hospital za maana ili wazuie ilo tatizo wachek kama ni Benin au malignancy so as to avoid hypergrowth of cancelous cells

Au kapimwe kipimo kimoja kinaitwa cervical screening

Alaf acha au punguza kutumia antibiotics kama unaona hauponi mwisho wa siku utapata drug resistance ambapo daw zitashindwa kufany kazi hata kwa magonjwa ya kawaida

Au kapime STI's


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikushauri tu kapime vipimo vyote kwani hakuna sehemu yenye ulinzi kama maeneo hayo (cell diffence )wakali kama maeneo hayo chochote kinachopita maeneo hayo hushambuliwa vibaya man na his cell wa ulinzi ikifikia kitu kimeruhusiwa kutokea maeneo hayo jua cell zake zimekuwa zaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee, anayeugua jipu mwingine halafu mimi ndio niende nikapime, hivi hicho kitu kinawezekana? Nakuomba udurusu vizuri bandiko ili ufahamu kinachoendelea na nani kasema nini
 
UNA USHAURI MZURI
USHAURI WAKO MZURI TATIZO UMEKUWA NA 'AU AU' NYINGI AMBAZO NI GHARAMA KWA MGONJWA.KUWA SPECIFIC TU KWAMBA AFANYE NINI BASI,AU AU ZIKIZIDI NI NJIA NYINGI NA IPI NI SAHIHI...
 
hivi vitu kwenye kuvijadili hata utumie lugha ya tafsida kiasi gani lazima vitaleta ukakasi tu
 
Hivi wewe unaogopa nini kumwambia akapime? Wenzako tunaomba tenda ya kulikamua wewe unataka akapime! Hivi jipu unaweza kwenda kulipima?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe dawa ni kulikamua tyu aloo mkuu umejua kunichekesha!
 
nenda Benjamini Mkapa UDOM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…