Magufuli aje TFF?
unaona kila siku tunakuambia uwezo wako mdogo wa kuelewa mambo?
hujui hata TFF inaundwa vipi?
hujui hata FIFA ikoje?
next time ndo nyinyi mnataka serikali iingilie kati mambo ya kamati ya Miss Tanzania...
mara serikali iingilie kati ugomvi wa Diamond na Ali Kiba....
Fifa ni independent ....na wanachama wake wanabanwa na sheria na taratibu zilizowekwa
sio wanasiasa kwenda kutafuta sifa