Jirani amekubali, ametema ndoano

Jirani amekubali, ametema ndoano

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Alikuwa mbishi sana. Anasema Azam decoder ndo kila kitu. Nikamwambia hujui wewe... Sasa juzi kaja kuangalia Ball la WC kupitia DSTV. Amekiri anasema hawa jamaa kweli wana HD ya ukweli.

Nlimwambia kukosa kuwa na DSTV nyumbani unapoishi ni kutokuwa na nyumba kamilifu. Leo ameenda kununua king'amulizio cha DSTV. anasema kesho haendi kazini. Anataka aangalie DSTV.

Huwezi ukawa serious katika maisha kama huna DSTV. HUWEZI. UTAKUWA MBABAISHAJI TU.
 
Dstv huwezi ilinganisha na ving'amuz vya hovyo hovyo kama Azam
 
Naunga mkono hoja,

Kufananisha DSTV na Azam decorder ni sawa na kufananisha PASSO na CHEVROLET.
 
Mi vile Jana nimeangalia WC France akishinda kwa kishindo basi Azam yatosha na mchana nilijionea mwenyewe Mayele akiongoza ufungaji Bora Leo naona Sabilo akipanda na kumfikia Mayele huku gape iki extend kwa 7 points basi Azam yatosha
 
Hiyo ya France uliangalia Azam mkuu ? Na je katika chaneli.
 
Back
Top Bottom