Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hiyo ya France uliangalia Azam mkuu ? Na je katika chaneli.Mi vile Jana nimeangalia WC France akishinda kwa kishindo basi Azam yatosha na mchana nilijionea mwenyewe Mayele akiongoza ufungaji Bora Leo naona Sabilo akipanda na kumfikia Mayele huku gape iki extend kwa 7 points basi Azam yatosha
Nyie Qatar mmepigwa marufuku hamruhusiwi kule.Hivi shule zimeshafungwa kwani?
Jirani yako nimeshajua kabila lake, yaani kufunga dstv ndo hadi anajipa likizo? Hawa ndo wanalala na pikipiki mpya chumbani.Nyie Qatar mmepigwa marufuku hamruhusiwi kule.
Kama mtu ana room moja unadhani atalaza pikipiki nje? Mi si mzaramo lakini pia nsingeweza laza pikpiki nje ikiwa sina sehemu ya kulaza. Ngelaza tu chumbani.Jirani yako nimeshajua kabila lake, yaani kufunga dstv ndo hadi anajipa likizo? Hawa ndo wanalala na pikipiki mpya chumbani.
Tbc azam inaonekana kwa HD halafu game inakuwa imepoa vizuri sanaHiyo ya France uliangalia Azam mkuu ? Na je katika chaneli.