PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Pole Preciousdoe. Sasa tufanyeje? nakushauri umwambie tu atakusikiliza bila shaka
ha ha ha mwaya mnunulie kitanda umpe kama zawadi 😡
@bujibuji - wee wacha utanii 🙂 saasa hivi nina yawn kama mtu hajalaa siku nyingi
na wewe kama unaishi na mke badilisha ratiba wakianza kuchidana na nyie mnaanza inakuwa ngoma droo au vipi nunua laini mpya ukisikia wanasumbua tu unawabeep ili kuwakata stimu
Talking from experience? or? :smile:ha ha ha mwaya mnunulie kitanda umpe kama zawadi 😡
Tetesi!? Huna uhakika Kama wanakuamsha au!!
Unaweza kumwambia jirani wa jinsia moja na wewe kuwa kitanda chao kinakukwaza...... Nafikiri atakuelewa
ha ha ha mwaya mnunulie kitanda umpe kama zawadi 😡
Kama unaogopa face to face andika kikaratasi penyeza chini ya mlango usiku akirudi na demu wanapata ujumbe kabla hawajaanza majamboz!! :scared:Jirani ni mwanamume single - huwa anawaleta wasichana kutoka club kulala nao usually wednesdays,sundays and fridays. Weekend hakuna shida lakini sunday na wednesday ninahitajika kuamka mapema the next day tena oflate imekuwa almost daily jameni.Mimi ninaogopa kuumu approach kwa sababu hii.Naskia shy manake sasa vipi nitaanza story hii tena nikimtuma mwingine itakuwa nimepeleka mambo yake nje.
Kama unaogopa face to face andika kikaratasi penyeza chini ya mlango usiku akirudi na demu wanapata ujumbe kabla hawajaanza majamboz!! :scared:
hommie hii imetulia pia
bado uko gest usalule?