Jirani Mganga

nenda kazuge kuomba tiba ili uthibitishe kama kweli ni mganga ama la
 

Hivi unapewaje nyama ya kuku?
 
we kula tu usihofu mtaani kwetu kuna jamaa akikuta nazi zimevunjwa kwenye makutano ya njia anaokota vipande vyote anavila na ni mzima mpaka leo
 
Now nimesepa zangu nimemuacha dogo pale aendelee kuliwa kiboga taratibu na majini ya yule mzee nasikia anafuga majini.

wewe ulichoka kuliwa au sio umeona umuachie doGo shift... Haki nimecheka peke angu
 
Hao kuku unao kula wakafara
 
We jamaa hem niache bwana


Sawa, ila wenzako wanaanzaga hivyo hivyo...mara leo kipande cha nyama ya mtu na mchuzi wake, kesho pumbu za jirani yako mwingine, kisha mwishowe unawehuka bila kujijuwa. Shauri yako, vya bure vina hasara yake na anayekutafuta anakuanzia mbali tena kwa ukarimu wa kupitiliza.
 
Mmh sawa ngoja nianze ukauzu
 
Usile mama, usiipime imani yako!
Otherwise kula huku ukipuuza au kutakasa.

Mkweo.
 
Usile mama, usiipime imani yako!
Otherwise kula huku ukipuuza au kutakasa.

Mkweo.
Nitaachaje kula na huku watoto mmenisahau nashindwa kununua hata kipande cha samaki
 
Wee kula tu havina madhara hivyo,

Halafu kwa nini waganga siku hizi wamekuwa ni wakaka smart ama ni wajukuu waliorithishwa?!
Teknolojia imewabadilisha, siku hizi wanatumia mpaka smart phone. Ukiingia social networks unakutana na matangazo yao ya kumvuta aliye mbali[emoji4] [emoji4]
 
Itakua mganga ndo kamtuma akuletee nyama, ana lengo lake nyuma ya pazia. Utajikuta siku umeamka upo kitandani kwa mganga[emoji4]
 
Itakua mganga ndo kamtuma akuletee nyama, ana lengo lake nyuma ya pazia. Utajikuta siku umeamka upo kitandani kwa mganga[emoji4]
Haha acha basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…