Jirani nimekuchoka

nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?

yaan nimecheka kwa nguvu haswa!!! 30,000 ni hela ya umeme kwa mwezi
 
Hii thiredi nilikuwa naisoma tu comments zake sikutaka kuchangia ila imenibidi ni changie tu .
Kwanza mtoa mada hata kama atakuwa mwongo au story ila hio kitu ni kweli, nimefanya utafiti huwa hawa viziwi wanasauti za mahaba kali sana!! Na hata kama watakuwa wako room yao wanawasiliana kama wewe ni mgeni mtaa huo unaweza dhani kuwa wanafanya! Na hili ni kutokana na nature ya mawasiliano yao mfano kugonga vitu, kupiga makofi na kulalama! Hivyo basi kama wewe ni wale wasikilizaji wa waves hata za chini mno unaweza dhani kuwa kuna mtu anafurahia tunda au anapigwa...
Wito wangu, tupunguze interpretation ambazo macho yetu hayajaona huenda unaweza kesha kumbe ni mbwa alikuwa kwenye banda lake
 
nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?

wewe dogo unachekesha sana, unafaa kuwa comedian, nakufananisha na yule dogo wa tangazo la airtel anayesema, sasa skia, kamata buku' kwenda mlimani city
 
Asee
 
nilimwambia dalali anitafutie chumba hayo maeneo chenye gypsum,tiles ,choo na bafu ndani kwa bajeti yangu ya 30,000 kwa mwezi lkn aliniambia nisipotoka ofisini kwake ataniitia polisi,sijui hata tatizo lilikua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…