Unapakua sa ngapi jiran?Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika?
Jirani kwanini unakuwa hivi lakini?
Yote haya lawama kwa CCMNi kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika?
Jirani kwanini unakuwa hivi lakini?
As soon as I step foot in the shop,Nobody knows tomorrow
Jana ghetto mbonji la kigodoro
Kula yenyewe mgogoro
Shaghala, baghala, ndombolo, ndombolo
It's holiday
Watu wana celebrate
Life Is every day
My friend usi complicate
It's holiday
Watu wana celebrate
Life Is every day
My friend usi complicate
Tutakesha, haondoki mtu mpaka tule.
Haya sawa na ww usije kuomba chumviMpka jirani aondoke aisee!
muulize jirani umejamba nini. mbona nasikia harufu mbovu.Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika?
Jirani kwanini unakuwa hivi lakini?
Yani tokea asubuhi unabadilisha story tu mara Treni ya Umeme, mara Goli la Yanga, mara Radio ya Alikiba na hauna dalili ya kuondoka.