Gazeti sidhani kama nahitaji huo utafiti.. siwezi danganya nimewahi kutana
kimwili na mkaka mmoja.. hapana, hivyo i know what am talking about..
sio lazima awe mngoni kuwa mkareee....
Gazeti sidhani kama nahitaji huo utafiti.. siwezi danganya nimewahi kutana
kimwili na mkaka mmoja.. hapana, hivyo i know what am talking about..
sio lazima awe mngoni kuwa mkareee....
Ni kweli sio lazima lakini wengi wao hawa watani zangu wako hivyo ndio maana wenyewe wako kimya hapa niko nae mmoja anacheka tu mwenyewe anajiita SUMAKU.
Leo nakustahi mtani lakini ipo siku tu nitakuanzishia thread nakusanya ushahidi ambao kila mmoja ataukubali hapa jamvini maana ulivyotushupalia leo.Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!
Wee! usicheze na wakunyumba ni wafupi lakini wanatisha. Wee wakunyumba moto kabisa mkeo atakutoroka. Watu wafupi wanatishaaaa kwa majamboz.Siogopi cha mgoni wala nini,mautaalam yangu yatamfanya asitamani hata kuonja cha jirani!!
so mngoni was a lousy guy???????
but he succeed lol
naskia moja ya sifa za wangoni kwa wanaume ni kufumaniwa. Kama hujawahi kushikwa unyago unaonekana huna maana na mzembe! Hivyo mi naona hatari ya jirani wa kingoni ni kama mkeo nae mngoni, hata uweke ulinzi shirikishi haisaidii coz wanajuana!!
Wee! usicheze na wakunyumba ni wafupi lakini wanatisha. Wee wakunyumba moto kabisa mkeo atakutoroka. Watu wafupi wanatishaaaa kwa majamboz.
Nakuambia hivi kwangu mgoni hasogei,tena nikipita na wake harudi kwake,achana na mautundu,mpaka dada wa watu anazungumza lugha ya utotoni unafikiri mchezo!
He didn't even have a scent of Ungoni....lol.. But man!
but he sound like mngoni to me lol
why the hell would you say/think that???lol
lol:dance:
Ha ha ha haaaa haaaaa umenichekesha sana mkuu, kama umeoa mwanamke wa KIMAKUA hilo sishangai maana wanaongoza kwa Lugha na vilio vya ajabu kitandani lakini kama ni kabila lingine BIG UP MKUU toa darasa humu JF nasi tujifunze.
come on Man!!! you can do better....lol
but please do not refer...