Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Huendajamaa alikwenda kusomea masomo ya juu huko Ungonini na akapata shahada ya ........He didn't even have a scent of Ungoni....lol.. But man!
mkeo ashamegwaThese are stories passed up from historical lineage!...Nimeishi na wangoni wengi sana, na ni watu wa kawaida na wanaheshimika sana..Dont tell me huenda ilikuwa vice-versa!
naskia moja ya sifa za wangoni kwa wanaume ni kufumaniwa. Kama hujawahi kushikwa unyago unaonekana huna maana na mzembe! Hivyo mi naona hatari ya jirani wa kingoni ni kama mkeo nae mngoni, hata uweke ulinzi shirikishi haisaidii coz wanajuana!!
Tatizo sio idadi tatizo ni muda, kama una idadi ya 30 ndani ya miaka 30 bado hujaqualify lakini ikiwa kwa mwezi unatimiza 5 hapo unaanza kuingia kwenye kundi la vicheche. Na ukiwa na tabia ya kuchakachua wake za watu hata ikiwa kwa idadi ndogo wewe ni kicheche.hivi inatakiwa utembee na wanawake/ wasichana wangapi ili uqualify kuwa kicheche?
Fanya utafiti mwenyewe utatuletea data hapa yaani hawa wakunyumba wanatisha!
Tatizo sio idadi tatizo ni muda, kama una idadi ya 30 ndani ya miaka 30 bado hujaqualify lakini ikiwa kwa mwezi unatimiza 5 hapo unaanza kuingia kwenye kundi la vicheche. Na ukiwa na tabia ya kuchakachua wake za watu hata ikiwa kwa idadi ndogo wewe ni kicheche.
Aaah! wapi tena ukioa mngoni mwenzenu ndo kabisa anazungumzia dirishani tu! utasikia "NENE NIKUGANILI KWEI!" Vicheko vinaanza mambo yameiva.
hapo kwenye nyekundu sidhani kama ulimaanisha kusema hivyo, otherwise ni ugoni
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!
Dah! hiyo AVATAR inanikumbusha walipokuwa wanahama kutoka South Afrika kuja Tanzania. Tatizo kwa kule Ungonini kuchukua mke wa mtu ni kama kwa watu fulani ilivyokuwa heshima kwao kutunza busha.am not believing into your thought.
inategemea tu na uwezo wa mtu wa kupiga show na si ukabila, jitume kijana kwa mkeo acha kuhofia watu.:mod:
Jinsi baba mwenye nyumba alivyo na wivu nahisi nitapewa notisi mara tu akishaiona hii threadNi kama vile tunazungumza hatari ya vita halafu ukasema wewe unaishi Somalia, Libya, Iraq n.k