Ningependa kukuonyesha picha niliyoipiga ambayo inamuonyesha jirani yangu akilala kwenye 'kitanda' cha theluji alichokitengeneza yeye wakati eneo la pwani ya Mashariki mwa Marekani lilikumbwa na hali mbaya ya hewa wiki hii. Ungemshauri vipi mtu huyu???