Jirani yangu anapenda kuanika chupi zake karibu na chumba changu

Kabla picha haijafunguka nikajua mathong na mag-string ya kutosha eniwei kyupi ni kyupi tu.

Iba moja mzee baba
 
Muanulie kisha umpelekee na kumsifia picchu zake ni nzuri huku ukimuangalia usoni ili uone reaction yake. 😜
 
Punguzaa Mawengee Kaka vitu vya kawaida mi nilidhani aanaanika Chooni au bafuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…