Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

Ni kweli maana pale kilichokuwa kinaendelea ni aibu ya wazi, maana hata watoto walishuhudia lile jambo nafikiri wakati mwingine kuna haja ya kutafuta namna nzuri ya kukabiliana na vitu vya nmna hiyo.
Huo muda wa kutafuta njia nzuri unatoka wapi? Mume anakwambia haya mama nanii sasa leo jiandae kunifumania ntaenda kuzini na dada?Acha aisee hii kitu haina fomyula! Hapo ukute wenyewe ndo mliaminiana kiasi kwamba ukajiona huyo ndo wako peke yako....!
 
Mwanaume hawezi laumiwa alitaka ladha tofauti kila siku ugali na maharage unakinaisha.H/G wa vijijini watamu kama kuku wa kienyeji wanaharufu genuine.wamama wenye nyumba wanajipandika mapoda,mapafume na makorokoro kibao hadi wanakosa uhalisia.mwacheni mzee wa watu hana kosa mwenye makosa ni mama ajiulize kwanini Mzee kamkimbia.
 
Ile kitu tamu asikuambie mtu,na hasa hawa watoto wanavyonenepeana ovyo,ni muhimu kutafunwa tena bila zana.
 
Huyu siyo wa kwanza, miaka ya 90s ilitokea mbeya, walikutwa live kwenye sinki ya kuogea bafuni, mama hakupiga kilele kwa kuwa alikuwa msomi, ila at the end house girl alipangiwa chumba mtaani na baba mwenye mji.
 
kosa ni la mama mwenye nyumba inawezeka hamridhishi mume wake so" ukiikosa haki ndani itafute nje"
 
Mwenye kosa hapo ni mama mwenye nyumba!!!!! Ni kwanini alikuwa hamridhishi mumewe mpaka awe na vishawishi vya kummendea housegirl? Inawezekana kabisa huyo mama amemuachia house gril afanye kila kitu kwa mume wake yeye akidai amechoka (Mtindo wa wadada walio wengi siku hizi). Mume akirudi, HG ndiye anakwenda kumfungulia mlango na kumpokea mkoba, ndiye anapika chakula na kumkaribisha Baba mezani, ndiye anafua hata chupi za baba, ndiye anamwambia baba mboga imesha na kumkumbusha baba asishau kununua mchele n.k.


Pamoja na hayo, ni akili mbovu kwa mwanaume kumuacha mkeo chumbani na kwenda chumba kingine kufanya ngono. Kwa nini hakufanya different arrangements? (Usiniulize which different arrangements please!!!!)

Tiba
 
Kwa ufupi ni kwamba huyo baba ni mpumbavu sana!

Ina maana alishindwa kuvumilia hata ikafika asubuhi mama akaenda kazini?

Hata akipigwa red card, hiyo adhabu haitamtosha!
 
...nadhani huyo baba ni sleep walker.
 
Khaa Mbu!

Ndo akamtembelea dada...lol!
 
Reactions: Mbu
Khaa Mbu!

Ndo akamtembelea dada...lol!

....sleep walking ni abnormality hiyo. huenda mwenyewe 'alikuwa anaota' kamfuata mkewe! lol
 
....sleep walking ni abnormality hiyo. huenda mwenyewe 'alikuwa anaota' kamfuata mkewe! lol
Labda kama hawalali chumba kimoja....Na hivi, kumbe hii kitu inaweza kufanywa hata usingizini eeh? (dada na yy nahisi alikuwa ndotoni kwa hiyo ikawa sawa tu)....what a defence!
 
Labda kama hawalali chumba kimoja....Na hivi, kumbe hii kitu inaweza kufanywa hata usingizini eeh? (dada na yy nahisi alikuwa ndotoni kwa hiyo ikawa sawa tu)....what a defence!

sana tu,...duniani kuna mambo!


 
lawyers wanasema 'undue influence' -mbaba z liable..imekula kwake
 
Mbu, hiyo defence inathibitishwaje? (niwie radhi kama maelezo yapo kwenye link hiyo, siwezi kuifungua kwa sasa)
 
Mbu, hiyo defence inathibitishwaje? (niwie radhi kama maelezo yapo kwenye link hiyo, siwezi kuifungua kwa sasa)

...lol, bht hujawahi sikia sleep walker anafungua friji, anakula kiporo kisha anarudi kulala? defence hiyo sina utafiti nao sana ila 'disorder' inaitwa parasomnia. Ni sawa na yule anayekurupuka usiku akipiga mayowe, au mwingine anakupiga magumi usiku...nk

Huyu baba anahitaji tiba na maombi, msimhukumu...si kosa lake lol!
 
Beki 2 ndo nani?
Hivi Housegirl si ni mwanamke kama wanawake wengine? KWa nini uandike Baki na kwa nini baadhi ya wachangiaji mnachangia kama vile housegirl ni mtu asiyestahili kuchangamshwa damu??

The issue here ni kwa mbaba huyo kutoka nje ya ndoa yake, wghether ametoka akaenda kwa housegirl au mke wa jirani,,,,,,,,,,, ni mwanamke asiye mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…