Jirani yangu mke wa mtu ananishawishi

Mzee baba kula utakavyo Mimi huu mwaka wa 5 sasa nakula wake za watu na sikamatwi natumia mbinu mbadala na teknolojia ya hali ya juu kudate nao. Kila kitu kinawezekana bosi. [emoji1] [emoji3] [emoji122] [emoji122]
Ushauri wa hivi nilishauona mahala flani sidhani kama unafaa
Utakuja kujuta hapo ndo utatambua kwamba kama hujui umuhimu wa matako kalia kichwa
 
Device zina-match... Fanya pairing kimyakimya

NB: ILA kumbuka TAMAA MBAYA...kama unaona ni noma muelezee ukweli haiwezekani
 
Geuza upande wa pili wa shilingi uyo mwanamke angekuwa mkeo na anafanya hivyo kwa huyo jamaa mwingne,wewe kama mumewe ungependa afanye nn uyo jamaa kwa mkeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…