Jirani yangu wa kike simuelewi kabisa

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Wadau hope mko poa
Mimi nimehamia nyumba ya kupanga hivi karibuni. Nyumba hii inawapangaji wengi vijana wakike na wakiume.

Sasa mpangaji ambaye chumba changu kimetazana na chake ni binti mrembo sana. Ni binti ambaye toka siku ya kwanza nimefika kwenye hii nyumba amekuwa akinichangamkia sana.

Mimi nafanya kazi naondoka asubuhi sana na huwa nachelewa mno kurudi. Ananijali sana katika vitu vya kawaida, mfano anaweza kuniletea chakula, kuna siku ananisaidia kujaza maji kwenye ndoo nk.

Siku zingine huniambia amekuwa pekee na anahitaji kampani basi nitaenda kwake tutaangalia movie nk. Kiufupi anajihisi furaha akiwa karibu nami, ndivyo anavyiniambia.

Najua ana mtu wake na kuna siku huyu jamaa yake alikuja. Ni kwamba huyu binti alikosa ule uchangamfu kipindi jamaaa yake yupo.

Sasa juzi kati hapa kanifungukia kuwa ananipenda sana na anatamani kila muda awe karibu na mimi sababu anaona mimi ni mwanaume nisiye na mambo mengi yaani tabia ya kuwa na wanawake ovyo sina.

Nilivymuhujoji kuhusu jamaa yake akadai ni hampdndi anajilazimisha. Na pia akasema jamaa yake ni mwanajeshi hivyo muda mwingi huwa anaenda nje ya nchi na amesha sema waachana ila jamaa king'ang'anizi

Kiufupi demu ni mzuri sana, ila sasa mimi simuelewi kabisa hasa ukizingatia najua ana mtu. Sipendi kumuharibia jamaa. Nimefikiri kodi ikiisha nihame kimya kuepuka hili. Kingine wanaume ambao tuko mbali na wake na wapenzi wetu tuwe makini asee.

Niamue kipi, nipotezee na kuhama au niibomoe hii mali?
 
Fanya yote lakini usithubutu;

1. Kutembea na mwanamke mliopanga nyumba moja. Zigo la kodi yake na majukumu yote yake litakuwa lako na uhuru wako ndio bye bye.

2. Kuamini mwanamke anaekwambia hampendi bwana ake lakini yupo nae. Tena mjeda, utapigwa mbupu na maji kunyimwa.
 
Kwakua ni mwanamke wa mjeshi Basi kaa nae mbali au kama utamla hakikisha unampeleka lodge Na sio Apo kwenye chumba chako au chake
 
acha ufala wewe nae gegeda mbususus hiyo. atakuona boya.
kuhusu tulio mbali na warembo wetu suala la kuchapiwa lipo pale pale.
mbususus unakodisha tuu kamwe haiwezi kuwa yako
 
Mkuu! Kumwamini mwanamke ni kosa la jinai.

Usitembee na mpangaji mwenzako, jirani yako, mfanyakazi mwenzako.
 

acha ufala wewe nae gegeda mbususus hiyo. atakuona boya.
kuhusu tulio mbali na warembo wetu suala la kuchapiwa lipo pale pale.
mbususus unakodisha tuu kamwe haiwezi kuwa yako
Mungu wangu
 
Thank you
 
sasa nini kigumu kuelewa mwanamke kuwa na kidume na wala hampendi?...wanawake 90% ndio maisha yao hayo mzeya.

kupigwa pumbu na maji kunyimwa sio ktu cha kuogopa...sii na yeye ampige mbupu bila maji huyo demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…