Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

....
 
Dunia ina mauzauza mengi unachotakiwa kufanya ni kuacha kuchunguza maisha ya watu wengi walio dhurika na bigi wote walijaribu kuingilia mambo yake

Kama una uhakika unaweza kupambana na mauzauza ya dunia basi unaruhusiwa kuchunguza maisha ya watu, maana ukimaliza tatizo moja utakumbana na tatizo lingine
 
Mara nyingi ukizingua kama hvyo huwa hawakuachi kama ulivyokuja huwa wanakusindikiza na kitu kizito, lazima maisha yako yawe magumu kupitiliza. Ukiona mashart ya kazi huyawezi achana nayo sio unakubali masharti halafu unakuja kuzingua mbeleni itakugharimu na kukupa majuto makubwa.

Maana utaonekana adui mkubwa sana, kama ujuavyo kitendo cha kugusa maisha ya mtu ilivyo hatari.
 
nilimuuliza hukuyajua hayo masharti kabla akasema alikua anayajua lakini hio siku alisahau anajikuta kashafika mbali ndio anakumbuka akaenda hivohivo yakamkuta hayo nikajisemea hizi bus mpya mimi ndio mana naogopa kupanda mana hazikawii kupiga mzinga kwa makafara na kwa hapa tanga nacharo sasa hivi ndio kama div one point nine!!
 
na hio ndio kanuni ya maisha, ni ku mind your own business, mwenzetu angefocus na maisha yake pngine asingepoteza kiumbe tumboni, ila ni kutaka kudadisi nn kinaendelea ndio yakamkuta na mengine

hata maisha tunayoishi mitaani ukipendelea kujali kuhusu maisha yako utaona tu mambo yanavyokwenda ila ukijidai kuyajua ya waja na yako ndio yanafukunyuliwa hivohivo
 
Nimepata shida sana kuelewa ulichokiandika.
Alipata kazi kampuni ya Nacharo ila moja ya masharti ya kazi ni kutokuvaa nguo yoyote nyekundu. Siku moja wifi yake akajisahau akavaa t-shirt nyekundu na suruali nyeusi na juu yake akavaa baibui na mtandio, kwa bahati mbaya upepo ukampepea boss akaona t-shirt nyekundu akamfukuza kama mbwa kwa madai anamletea nuksi kwenye biashara yake. Mpaka leo anahangaika kutafuta kazi
Umeelewa??
 
Nimeelewa vizuri
 
Nje ya mada. Sorry, ulisoma first degre chuo Jo'burg, right? Nakufananisha na mtu.
 
Mbona haya tunayo kila siku. Na yapo dunia nzima. Nakumbuka nilishawahi kuishi sehemu moja hapa dar. Jamaa ana watoto mapacha wawili wana kama ten years na hawajawahi kutembea. Siku ukisikia ndani kwake huko gorofani wanalia usiku mzima. Basi kuanzia kesho biashara zake ni full neema. Na mke ni marufuku kutoka nje ya geti. Iwe msiba wala sherehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…