Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Huyo wifi yako ni wa hovyo sana, bora walimfukuza mapema. Yaani unaambiwa usifanye hivi na unafanya. Vichwa vigumu kuelewa kama hawa ni kufukuza tu. Kuna siku angepewa hela apeleke bank yeye angepekeka kwenye betting.
Na anakutana na mimi kwenye betting namshauri mpe simba anashinda ziidi ya Raja Casablanca 😁😁
 
Reactions: ARV
Ni heri angerudi akabadiloshe kuliko alichokifanya, ona sasa anahangaika na mambo ndio yamezidi kubana
 
Kuna dada alinihadithia kuhusu huyu mwamba mwenye Nacharo yake, maneno yako na yake yanaendana sana. Naweza kuanza kumuamini sasa....
 
Malizia mzigo mzeee… tupe na trailer ya bembela kidogo
 
Aisee hii si kitoto
 
Hivi mtu kama anasema anakosa muda wa kuandika muendelezo wa story aliyoianzisha.
Sasa ilikuaje mpaka akaanzisha kitu ambacho anajua hana muda wa kutosha kuconcentrate nacho?
Me naona huyu mtunzi wa hii hadithi ni aina ya wale wanaopenda kubembelezwa.
 
Waza na upande wa pili mkuu

Maisha hatufanani na huwezi mtu kuacha kazi zako kisa kuwasimulia watu story hapa jukwaan
 
Tuandikie yako mkuu ili upost tu kila sekunde bila kukubembeleza
 
Uelewa wako uko chini sana,jua uko chini sana kwani mwandishi mbona ameshatoa maelezo kuhusiana na hilo,hivi imgekuwa ndio umeweka pesa zako mfano uko vicoba au sehemu nyingine si ungeua mtu? Ni bora unung'unikie moyoni kuliko kuongea na kuwasaidia waja kujua kiwango chako cha uelewa.SHAME!
 
Hujafikiri kuwepo kwa muingiliano wa mambo? Mambo yako siku zote hua yamenyooka usiniambie hujafikiri kwenye hiyo angle, you are smart. Kasema atamaliza yote alosto isikutaabishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…