Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

i.Ulipona taya?
2.Bwana tarimo alipona,?
3.Mkeo na ujauzito wake alijifungua salama?
4.Kijana wako ulokuta nguo zake kwenye fuko la big anaendeleaje?
5.Kinacho kufanya uendelee kukaa hapo ni nini na majanga yote hayo?
6.Chumba cha big kilipata mteja?
 
Kisa cha kusisimua sana
Haya kwenye jamii yapo na umesimulia yanayojiri kiuhalisi
 
Asante kwa muda wako Kaka.
 
Katika watu ninaowaepuka nikisikia tu ni washirikina na wachawi. Yaani nikisikia tu fulani ana mambo ya shirki najitenga nae kama maji na mafuta. Wanajua sana kulostisha wenzao. Futseke zao.
waswahili wana msemo wao, mchawi mpe mwanao akulelee, usiwaogope sema usiwe karibu nao mkionana msalimie fanya hamsini zako
 
waswahili wana msemo wao, mchawi mpe mwanao akulelee, usiwaogope sema usiwe karibu nao mkionana msalimie fanya hamsini zako
Hee
Kwahiyo iwe kama mwizi mpe pesa akutunzie?
Inahitaji ujasiri..
 
Tunasubiri

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…