Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

thanks Shuu[emoji7][emoji7][emoji7]....aisee nitasoma leo ngoja nifike home
 
Tuendelee
 
Story inaukakasi kidogo?


Mwanzo wa story ulisema una mke na familia kubwa

Ila ndani ya story mkeo kaja kuonekana sehemu ya 7

Vipi apo brother
Hamna mahali nilisema nina familia kubwa, bali nilisema nilihamia Goba kukidhi ukubwa wa familia maana kule Makonde nilikuwa nakaa kibachelor, kule Goba nikawa nakaa na mwanamke na mtoto.

Na sababu iliyofanya huyo mwanamke nisimtaje ni kwasababu hakukuwa na tukio lolote la kunifanya nimtaje mpaka pale sehemu yake ndani ya matukio ilipowadia, na nikasema kwanini muda wote huo haikuwa hivyo.

Ni kheri tukatulia na kusoma mpaka mwisho, no stone will be left unturned.
 
Shusha vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…