Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Huyu jamaa anaenjoy sana kubembelezwa, akiahidi kutuma stori asubuhi basi atatuma usiku, akiahidi jioni basi ujue hyo kesho asubuhi, raha yake kuona watu wanaulizia ulizia story. This is my observation ( mara 4), siko katika kumu-attack msimuliaji. Otherwise,it's an interesting story.
 
Ndio ukwel ukimwambia anakuchukia halafu hatoi hata excuse,
 
Mwenzio anapenda uzi uwe na comments nyingi,alianza kwa speed saiz ameona tumeupenda analeta maringo.
 
Kwa haya malalamiko ngoja nisubiri afike episodes nyingi ndiyo nitaanza kusoma.
 
Jiandae kushambuliwa.
Hii tabia imeota mizizi humu ukienda opposite na mtoa mada unashambuliwa.
Wanaleta stori, alafu wanachimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…