Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Ulivyoanza hii story ulituma episode 5 ndani ya sku moja ila ss hv hyo moja yenyewe had malalamiko ndio utume....sijui kwanini mnakua hvyo waleta story....maybe ndio njia ya kupata attention.....nway all the best
Huwa wanapenda kubembelezwa bembelezwa kama watoto
 
My boss a.k.a bichwa kubwa. Bantu Lady, Cha ukorofii Lovelovie, sister mawigi Antonnia
 
Mkuu ningekua na ela ningenunua maji ya madumu ninye chooni nimwage maji au niamie njiro kwenye maji bwerere mimi nlikua kwa siku nameki elf3 to 5 ninunue maji ya kuoga kunywa kupikia af na ya kumwaga toi burebure no way
Kweli mmea haujawahi kumuacha mtu salama
 
Sasa ndo utulie usome story ujue inaelekea wapi kutokumuusisha mke ni matakwa ya mwandishi mwenyewe Kwa kua yeye ndiye anayefahamu anataka kutuambia Nini kuna vitu unaweza usielewe Sasa ukaja kuelewa mwishoni kabisa tukio linapokaribia na mwisho unakuja kuunga dot unatengeneza taswira sahihi ya kitu gani mwandishi alikusudia
Mnajikuta wajuaji na hamna kitu mnafahamu acheni hizo bana
Hujui na hutojua mlengo mwa mwandishi mpaka utilize pupa zisizo na msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…