Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Sichangii chochote mpaka mganga wangu atoke mzimuni. Bigi sona tatizo na wewe broo.
 
@UMUGHAKA ndio mshenzi Zaid ,kwanza anajisikia Kama demu bikira pili hayupo hapa ktk Uzi wa bwana moleli wakt moleli alikeshea Uzi wake ule alikowalala majini za ally mpemba wise
Nimesoma nyuzi tatu za yule jamaa zote naishia njiani
 
Nihadirhie Madam,
Episode ya kwanza tu sikumalizia
Ikanichosha.
Uwiii mambo ya Bigi ni mengii full mauzauzaaaaa!! Ukiipitia nukta after nukta ndio nini utaelewa vizuri kipenzi ni mambo ya kuchawiana kuroga na kuua!
Kuna mpangaji mwenzao Steve miaka hiooo huko Goba alikua nukseee sana kwenye shirkii!
Anaishi namkewe ambae mkewe inasemekana ni bubuu ama maalama ya kuungua mgongoni huko na kwenye mkono na wana mtoto ambae ni taahira/ zezeta piahh!! Seems like Big anawatumia kwenye mambo yake ya kilozii
pitia pia aste astee ndio utaelewa vizuri kipenzi bado haijaenda Mbali sana!! Focus kwenye episodes tu usisome koments one time tu utatufikia
 
Episode ya kwanza tu nikachoka[emoji23]
Ngoja nisome,labda ntaipenda kama ya Mura.
 
Episode ya kwanza tu nikachoka[emoji23]
Ngoja nisome,labda ntaipenda kama ya Mura.
Ni nzuri mamy jinsi unavoendelea kuisoma ndio utamu unakolea... ukitaka uimalize haraka wee just focus na episodes uzuri hapo mwanzo alipomaliza episodes chini ameweka Link ya inayofuata so ni kuclick tu ivoivo usipitie koments za watu Ndio zinafanya ionekane imesogea sana no ! Halafu hii ina tukio kuu moja nadhani utaimaliza mapema tofauti na ile ya Tukibaki haiiiii
 
Eti eeehhh!! Wacha tuburudike na kufurahia story huku tukipeana mawili matatu mkuu !! Saa nne hii leo Tivu atatupia Kweli??? Au kam kawaa mida yake ya ulinzi shirikishi ndio atatupia [emoji16]
Ngoja tusubirie tuone
Ngoja tumsubirie tivu ake
 
Kumbe jamaa hajanyandua uzi mzima
 
Napataje mwendelezo wake nichangie pesa? Nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…