Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nipo mubashara ,nasubiri muendelezo.
Mpaka kieleweke halali mtu hapa.
 
Pls Tag me ukishusha ingine mkuu...
Nina mtu hapa ana uraibu na hii story!
 
Eti eeehhh!! Wacha tuburudike na kufurahia story huku tukipeana mawili matatu mkuu !! Saa nne hii leo Tivu atatupia Kweli??? Au kam kawaa mida yake ya ulinzi shirikishi ndio atatupia [emoji16]
Ngoja tusubirie tuone

Wewe ndio kiranja wetu, zigo likitemwa gonga kengele ita majina tuje mstarini kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…