Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Sawa muhariri
 

Roho mbaya hamna lolote. Mnaona mwana anapata ujiko mnataka kumvuruga. Roho za kichawi ndomaana hamtoboi.
 
Stevemollel mtu mbadi😀😀😀
 
Nimeweka kambi nasubiri episode inayofuata. Series nzuri sana initia hamu kujua kilichojili.maswali ni mengi........
 
Stori zinakuwaga nzuri ila organization inakuwa ngumu imagine unatrace muendelezo unakata karibu page kumi ndio ukute muendelezo kwa nini stories isiwe inaendelea kwenye post ilipoanzishiwa nashindwaga kumaliza stori kwa ajili hii stori ikiwa inaendelezwa kwenye post moja unaweza hata kuisave webpage kwa ajili ya offline reading unaisave unaendelea kusoma thread nyingine hiyo uliyoi-save unaweza kiuisoma badae wale wanaowekq stori kwenye post moja stori zao wanaturahisishia
 
Story nzuri kweli bro lakini unarefusha na vitu ambavyo si lazima sana. Vitu kama akakunja nguo akapita nazo koridoni mara nikashuka na njia Ile weee nikakunja kona, ni vitu honestly si lazima na vinakifu. Achana navyo kama inawezekana

Ni ushauri tu,don't feel offended.
 
Mwaka mpya na mambo mapya,,, nyuma ya pazia kuna mambo mengi ya ajabu yanatokea katika dunia hii,, ni kumuomba Mungu usije ukakatuna nayo au kujiingiza kwenye vitu hivyo (mambo ya shiriki)
 
Uzuri pamoja kuwekwa vitu ambavyo sio muhimu sana (kulingana na mawazo yako),Ila bado unaendelea kuifuatilia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…